Saturday, June 11, 2011

KAMA HAUJAWAHI KUCHEKA BASI SUBIRI HII HAPA!


Wakati hang over part 1 inatoka ilikuwa kama masihara hivi lakini ikawa ni moja ya muvi zinazofurahisha zaidi kama sio kuchekesha duniani,sasa jamaa wakaona ngoja wafanye kweli,wakaingia tena kambini wakatengeneza HANG OVER PART II.Kwa sasa imeshakuwa gumzo huko mitaa ya yu-esi-ei(USA).Kibongo-bongo twaisubiri itudondokee!

No comments:

Post a Comment