Friday, June 10, 2011

SHEMEJIIiii!!!


Yaani huyu ndio kaja mjengoni kuchumbia sista, dah!

SHOULD I MILK THE COW?


Zamani hizi nyonyo zilikuwa zinaitwa mtindi,kwa sasa sijui tuziitaje,can somebody help me please!?just comment.

VOODOO GIRL


Sure it may be fun and exciting but when was the last time you had a date?

KULEWA NI SHERIA KUZIMA NI MAJALIWA!

Demu wako akiwa katika hali kama hii kesho lazima umkatae,hii inaitwa NYAKA NYAKA!

MWAKA 2020


Najaribu ku-imagine kwa jinsi vivazi vya sasa vilivyo itakapofika 2020 huenda tukawa tunachora marembo kwenye maungo yetu badala ya kuvaa nguo, espesheli kina dada,i'm sorry lakini!