Tuesday, June 7, 2011

BREAST IN SHOW!!!


Ingawa kazi zake za kimuziki zimekuwa zikiwakuna watu wengi,lakini naingia wasiwasi inawezekana Lady GaGa ni msanii asiyejua kuvaa zaidi kuliko wasanii wote duniani.Tatizo wazungu wanapenda kusifia kila kitu hata mambo mengine yasiyoyofaa, wamemaliza kila kitu sasa wanatafuta kitu kinachoitwa na Bw. Misosi"NITOKE VIPI".

MISS MAPOROMOKO IKIJA BONGO SIJUI ITAKUWAJE??

Mashindano kama haya ambayo mamiss wanapita kwenye steji ya mawe yakija bongo sijui kina wema sepetu na wenzake wangefanikiwa kubeba mataji au ndio ingebidi tukasake washiriki vijijini huko maeneo ya mpitimbi,ngudu ama ileje mbeya!

MTV MOVIE AWARDS 2011 KUMEKUCHA,MCHUMU TENAA MWAAAAH!!!


Demu ambaye anaaminika ndio mkali wa kofoka foka kwa sasa Nick Minaj(kulia) alikuwa presenter wa tukio la MTV movie awards 2011,hapa anamkabidhi tunzo mdada mwingine Kristen Stewart(kushoto), ambaye ana-accept tunzo for best female performance. In the background ni presenter Ashton Kutcher wa tukio hilo, lakini pia jamaa ni mkali wa kuigiza filamu huko unyamwezini.

Usilie braza,ndio mambo ya facebook na twitter hayo!!


Anaitwa Anthony Weiner,ni representative aka mbunge wa chama cha Mr Obama hukoo unyamwezini.Huyu mbunge baada suala la Osama kuuawa hivi karibuni kwa sasa ndio anashikilia vichwaa vya habari na mabreking nyuzi huko huko Obama bay(marekani).Juzi kati amekumbwa na kisanga cha ufuska baada ya kugundulika kupitia ma-facebook na ma-twitter kuwa alikuwa akimmuvuzishia binti mmoja kigori wa chuo kimoja mapicha ya ngono yenye kutia hamasa.Mtoni nako kama bongo tu, wambeya,wanafki,vishanshuda si wakazikamata bwana hizo picha!?ikawa noma kwenda mbele hadi sasa!Sasa kazi kwenu nyie wapenzi wa mafacebook na matwitter yenu.fo mo storiz follow it laivu here!

Unanichekiiii,mimi ndio mbunge Weiner a.k.a ze baunsa weweeeee!

''Bado kidogo tu ningekuwa nimejazia kama Rambo ama anodi shozniga'',teh teh teh.Ndivyo kichwani alichokuwa akiwaza bwana Weiner kabla hajazisongesha picha zake kwa dada gennette utamcheki kwa chini chini hapo.

Hii picha inabidi kidogo utumbue macho uiangalie kwa makini!


Icheki vizuri hiyo picha,najua utakuwa umegundua kuwa ni boxer nyeupe iliyoko kwenye maungo huku ze@#$%^&*@ kama imesimama hivi.Hiyo ndio kazi ya kujifotoa picha aliyokuwa akiifanya mbunge Weiner akiwa chumbani kwake. Sijui alikuwa akimvizia mkewe akiwa anaoga bafuni ndo anafanya huo ujinga.Akimaliza anaenda kwenye laptop yake anam-sendia huyo bibie hapo picha ya chini!

Eeh Mwanadashosti huyoo,huyu ndio aliyeleta kimbembe sasa!


''Kwa jina naitwa Gennette Cordova, nasoma katika chuo cha Seattle college,ile picha ya mbunge yuko kifua wazi pamoja na ile amevaa kile ki-boxer ndani yake nanihiiii #@%%#@ inaonekana ndio zilikuwa zinakuja kwangu,najuuuuuta kumfahamu mbunge Weiner''.