Saturday, June 25, 2011

WILD WILD WEST!


Mwanzoni wakati naitazama hii picha,i was thinking kwamba bado kuna wamarekani wengine wanashanglia kifo cha anko OSAMA hadi leo.Nikashawishika kusoma habari yake ndipo nilipoangalia heading yake nikagundua kuwa inasema hivi.."GAY MARRIAGE APPROVED".Yaani ndoa za watu wa jinsia moja zaruhusiwa huko NEW YORK marekani.Sasa hao kwenye picha ndio wanashangilia baada ya senate kupitisha muswaada huo wa kijinga kuruhusu ndoa za mashoga!