Sunday, June 26, 2011

BATA BOYS KAMA KAWA NDANI YA MALAIKA


Ilikuwa usiku wa tarehe 25.06.2011 siku ambayo myamwezi shaggy alikuwa amedondoka mitaa ya mwanza kwa ajili ya kufanya show ya fiesta kwa udhamini mkubwa wa serengeti.so ikawa imeandaliwa party flani hivi kimtindo MEET & GREET. hapa ndo tukawa batani na washkaji.Naonekana kimtindo kushoto kabisa t shirt ya mistari,then wanaoonekana vizuri hapo Rama,g sengo na pembeni yake ni baba jonii,adam mchomvu from clouds fm.