Sunday, June 12, 2011

MTU MFUPI KULIKO WOTE ULIMWENGUNI!


Huko philippines amegundulika mtu mfupi zaidi kuliko wote duniani,jamaa anaitwa Junrey Balawing anatoka katika kijiji cha Sindangan kusini mwa ufilipino.Inadaiwa kuwa mshkaji ana urefu wa futi 2 tu.siku ya tarehe 12.06.11 alikuwa anatimiza miaka 18!