Saturday, June 11, 2011

KAMA HAUJAWAHI KUCHEKA BASI SUBIRI HII HAPA!


Wakati hang over part 1 inatoka ilikuwa kama masihara hivi lakini ikawa ni moja ya muvi zinazofurahisha zaidi kama sio kuchekesha duniani,sasa jamaa wakaona ngoja wafanye kweli,wakaingia tena kambini wakatengeneza HANG OVER PART II.Kwa sasa imeshakuwa gumzo huko mitaa ya yu-esi-ei(USA).Kibongo-bongo twaisubiri itudondokee!

JUSTIN BIEBER NA SELENA GOMEZ KUMEKUCHA!!


Baby, baby, baby ohh
Like baby, baby, baby noo
Like baby, baby, baby ohh
I thought youd always be mine,mine (oh oh)

PIED PIPER,R.KELLY WA UKWELI!


Robert R. kelly amekiri hivi karibuni kuwa aliwahi kumdunga ujawepesi aka ujauzito aliyekuwa malkia wa ara endi bii(RnB)marehemu Aaliyah wakati binti huyo akiwa ndo anaanza kuvunja ungo,akiwa na miaka 15 tuuu.Uhusiano wa kelly na Aaliyah uliwahi kuleta maneno sana coz jamaa alizuga kuwa plan yake ni kumuingiza sista du katika ramani ya muziki duniani kumbe akawa anamdungua kiaina!

MZEE WA DILEMMA, CHALIIIII!

Taarifa ambazo blogu ya bongoshega imezinasa kupitia kwa meneja wa msanii nelly kutoka yu-esi-ei(USA)ni kwamba kwa sasa jamaa mifuko imetoboka balaa,yuko majalala mbaya.kazi yake ni kubwia unga tu!

WIZZY KUMBE MWIZI??


Rapa lil wayne aka dwayne carter ameibukiwa na washkaji wanaoitwa
Play-N-Skillz wakimu-accuse for stealing instrumental and vocal ya ngoma yao ya mwaka 2007 called "Count My Money." Wayne anadaiwa kutumia sampo za wimbo wa washkaji hao ndugu Juan Carols Salinas Jr. and Oscar Salinas katika pini yake aliyoiita "Got money", which he performed with T-Pain. The song was released in 2008 on the album "Tha Carter III’. Washkaji wanamdai mnyamwezi wayne kiasi cha dola milioni 1.