Saturday, June 11, 2011

PIED PIPER,R.KELLY WA UKWELI!


Robert R. kelly amekiri hivi karibuni kuwa aliwahi kumdunga ujawepesi aka ujauzito aliyekuwa malkia wa ara endi bii(RnB)marehemu Aaliyah wakati binti huyo akiwa ndo anaanza kuvunja ungo,akiwa na miaka 15 tuuu.Uhusiano wa kelly na Aaliyah uliwahi kuleta maneno sana coz jamaa alizuga kuwa plan yake ni kumuingiza sista du katika ramani ya muziki duniani kumbe akawa anamdungua kiaina!

No comments:

Post a Comment