Monday, June 13, 2011

MOYO WANGU ALBUM YA PHILBERT KABAGO YAINGIA SOKONI!!

Mkali wa michano kutoka rock city Mwanza Philbert Kabago ameshusha rasmi kitu cha album.Bongoshega blogu imefanikiwa kuchonga na mshkaji huyo na hiki ndicho alichosema-"album imetoka rasmi,so baada ya kuwa katika maandalizi makubwa nimeamua kuiachia album hiyo inayokwenda kwa jina la moyo wangu ikiwa na ngoma kibao za ukweli kama vile Dear,Moyo wangu ambayo imebeba jina la album hiyo,wivu,umeme wa mgao ambayo ndio inayotamba kwa sasa kwenye vituo vya radio n.k".kuhusu wasanii aliowashirikisha katika album hiyo jamaa anasema ni pamoja na Farida,MB Dog,Mr hill,Hussein machozi na wengine wengi.Album imefanyika katika studio mbalimbali zikiwemo Tetemesha records,Mo record za mwanza,Family studio Arusha n.k!