Saturday, June 11, 2011

WIZZY KUMBE MWIZI??


Rapa lil wayne aka dwayne carter ameibukiwa na washkaji wanaoitwa
Play-N-Skillz wakimu-accuse for stealing instrumental and vocal ya ngoma yao ya mwaka 2007 called "Count My Money." Wayne anadaiwa kutumia sampo za wimbo wa washkaji hao ndugu Juan Carols Salinas Jr. and Oscar Salinas katika pini yake aliyoiita "Got money", which he performed with T-Pain. The song was released in 2008 on the album "Tha Carter III’. Washkaji wanamdai mnyamwezi wayne kiasi cha dola milioni 1.

No comments:

Post a Comment