Tuesday, June 7, 2011

Usilie braza,ndio mambo ya facebook na twitter hayo!!


Anaitwa Anthony Weiner,ni representative aka mbunge wa chama cha Mr Obama hukoo unyamwezini.Huyu mbunge baada suala la Osama kuuawa hivi karibuni kwa sasa ndio anashikilia vichwaa vya habari na mabreking nyuzi huko huko Obama bay(marekani).Juzi kati amekumbwa na kisanga cha ufuska baada ya kugundulika kupitia ma-facebook na ma-twitter kuwa alikuwa akimmuvuzishia binti mmoja kigori wa chuo kimoja mapicha ya ngono yenye kutia hamasa.Mtoni nako kama bongo tu, wambeya,wanafki,vishanshuda si wakazikamata bwana hizo picha!?ikawa noma kwenda mbele hadi sasa!Sasa kazi kwenu nyie wapenzi wa mafacebook na matwitter yenu.fo mo storiz follow it laivu here!

No comments:

Post a Comment