Sunday, August 28, 2011

IT'S MADCHESTER!!!!!!!!!

Wakati manchester city wakiwavurumisha vijana wa london kaskazini kwa mabao 5-1 wallah nilikuwa najiandaa kupata futwari katika mwezi huu mtukufu wa ramadhani karim,baada ya kupata futwari na kuja kuangalia matokeo ya mwisho kati vijana wengine wa mji wa manchester wanaitwa mashetani wekundu dhidi ya Arsenal almanusra futari niitapike it was 8-2.Mara ya mwisho kupata ushindi mkubwa kwa man utd dhidi ya arsenal ni mwaka 2001 kwa bao 6-1.Hii ya sasa ni kaliiiiii!

No comments:

Post a Comment